JengaExpressJengaExpress

Kuhusu JengaExpress

JengaExpress ni soko la mtandaoni linaloaminika Zanzibar kwa vifaa vya ujenzi na finishing, linalounganisha wasambazaji waliohakikiwa moja kwa moja na wajenzi na wamiliki wa nyumba kisiwani kote, kwa delivery ya siku hiyo hiyo na bei za jumla.

Tunachotoa

Vifaa vya Msingi

Saruji, nondo, mabati

Finishing

Tiles, rangi, vifaa vya bafu

Umeme na Plumbing

Waya, fittings, mabomba

Zana na Vifaa

Kila kitu kukamilisha kazi

Kwa Nini Utuchague

Bidhaa Zilizohakikiwa

Kila msambazaji anahakikiwa kuuza bidhaa halisi na bora

Delivery Haraka

Delivery siku hiyo hiyo Unguja nzima

Bei za Jumla

Bei nzuri kwa wajenzi na wanunuzi wa jumla

Malipo Rahisi

M-Pesa, Yas, Airtel Money, au Cash unapopokea